klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,140
Kloro wakati mwingine hongera tu na kutakiana heri kunatosha kabisa.Sio mtu anaanza kumwambia/toa comment za kumvunja mhusika moyo au za kumpa wasiwasi. Kama ipo siku atarudi kwaajili ya msaada basi isubiriwe hiyo siku, hamna haja ya kumwombea itokee na kuanza kumfananisha na watu wengine wasiomhusu.
Lizzy hebu irudie tena oroginal post ya mtoa mada, ukiiangalia kiundani sio post ya kutoa taarifa tu ambayo ingebidi kumpongeza tu, ndani yake imebeba compliments nyingi ambazo zinahitaji kujadiliwa, sijui umeliona hilo?