Kwa mfano,sasa hivi namuona shamba kalala usingizi.
Nikienda pale kumwambia aende nyumbani,nitakuta kwamba ameshapataaelekezo jinsi ya kunijibu,hawezi kuondoka kwa sababu time ya kuondoka haijafika .
And this is THE MAIN PROBLEM IN THIS HOUSE.Huyu mfanyakazi kusema hawezi kuondoka kwa sababu muda wake wa kuondoka haijafika.
This is very bad,kwa sababu kupumzika ni kumfukuza mfanyakazi. By definition,kama unataka kupumzika mahali popote,unamwambia mfanyakazi,Acha vifaa vyako vya kazi,simama,ondoka,nisikuobe hapa,nisikuobe anywhere near hii
Lakini mtumishi anataka kunasa ndani ya nyumba kama bigjee.