Wapishi mpike mkijua corona inaua

Wapishi mpike mkijua corona inaua

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,014
Reaction score
6,834
1585385633993.png
 
Huyo virus kama anaweza kufa kwa maji tiririka na sabuni basi kwenye mvuke wa chakula hawezi ku-survive
Kakudanganya nani..?
We ile kitu inaangusha mijitu 8000 huko ishindwe kupata hifadhi ya muda kwenye muchele au ugali hlf hapo baadae hizo hasira inaenda hamishia kwa wahisani wake kina ntu na ntu!!
 
Tangu corona iingie sina amani kbsa nikiagiza chakula sehemu hata kiwe kitamu vipi
 
acha watuue tu hakuna dawa ya kuua virusi vikishaingia ndani ya mwili [emoji22] wote tutakufa tu na virusi maana kila mtu anavyo kama huna hivi vyacorona basi unavyo vya surua au vyote.
 
Back
Top Bottom