Wapinzani wa Rais Magufuli wamkubali

Wapinzani wa Rais Magufuli wamkubali

Haya kachukue buku 7000 yako pale Lumumba ofisi ndogo
 
Kuna maneo hatendi haki,majipu mengine yameiva ila Mh hayatumbui,baada ya kutumbua anawapangia kazi zingine!!!...bora tujue kama kuna majipu yasiyotumbuka na yanayotumbuka;Bado sina imani na Mh kwa Asilimia Mia Nchi bado inaendeshwa kiujanja ujanja sana...
 
  • Thanks
Reactions: BDN
Post nyingine hazina vichwa wa miguu. Mtu unajitekenya na kucheka mwenyewe!
 
kuna watu wanataka magufuri ajigawe Tanzania yote kitu ambacho hakiwezekani. Penye jipu patatumbuliwa tuuu
 
Kuna maneo hatendi haki,majipu mengine yameiva ila Mh hayatumbui,baada ya kutumbua anawapangia kazi zingine!!!...bora tujue kama kuna majipu yasiyotumbuka na yanayotumbuka;Bado sina imani na Mh kwa Asilimia Mia Nchi bado inaendeshwa kiujanja ujanja sana...
Mkuu, ujanja ni sifa chanya.
 
siasa zimeshakwisha acheni ushabiki wa chama madogo
 
Back
Top Bottom