simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,214
Hili ni jambo la ajabu ambalo halikutegemewa. siku hizi wapinzani wa Magufuli wameonesha kumkubali kutokana na utendaji wake wa kazi anaofanya unaowapa matumaini wanyonge.
Arusha Dr. JPM ndiko alikopata upinzani mkubwa hasa kipindi kile cha kampeni ambapo wakazi wa huko walionesha wazi kutomkubali kwa kumzomea pindi anapohutubia wananchi na wengine kusema hadharani hawatompa kura. Hata matokeo ya uchaguzi yalipotangazwa yalionesha kwamba MAGUFULI katika majimbo mengi mkoani Arusha ameanguka.
Kitu cha kushangaza sehemu ambapo JPM alipata upinzani hasa ARUSHA lakini ndilo eneo linaloongoza mkubali sasa hivi na wengine kujuta kwa nn hawakumpigia kura.