Wapinzani si wakubezwa hata kidogo

Wapinzani si wakubezwa hata kidogo

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,632
Reaction score
8,452
Hakika nimeona mchango wa wapinzani kwenye masuala mbalimbali. Wao ni kama alarm ya kuwaamsha watu. Wanapiga kelele kama wale mbwa ambao hawang'ati ila wanatoa tahadhari kwa jambo lolote ovu.

Watanzania wenye akili, hawawezi kufurahia kifo cha upinzani
 
Halafu ccm wanajisifia eti tutatawala milele, aah shit.
 
Hawa hawa wapinzani ambao wakitikiswa kidogo tu wanakimbilia walikotoka ?
Labda hadi akina Maalim Seif, Mbowe na Lema watakapo ongozeka idadi.
Wapinzani aina ya Lipumbavu na Kubemenda ni makanyaboya tu, na ndio wanaochelewesha ukombozi wa hii nchi.
Ukombozi sio lazima kuchukua Dola.
Kuimarisha siasa za udhindani na kuleta utawala bora wa kidemokrasia ni hatua nzuri sana, kwa made ndeleo ya nchi. Jambo hili linahitaji watu imara na wenye nia thabiti, wenye moyo wa kujitolea na wasio yumbishwa na njaa, wala baa lolote,
Wananchi tunamwaga damu zetu ili kuwapa mamlaka, wao wanaishia kulambalamba matapishi ya mbwa.
Shame On Them.
 
Back
Top Bottom