Wapinzani Kamuombeni Msaada Kikwete

Wapinzani Kamuombeni Msaada Kikwete

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,777
Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.

Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.

Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
 
Nafikiri ungemshauri JPM kwanza Bi Faiza.
 
wamekurudisha tena kwenye payroll ya LUMUMBA?
 
Kwa sababu ni wewe ndiye uliyeandika basi bavicha watakupinga; ingawa juzi juzi walianzisha kampeni ya kumsifia Kikwete.
 
Darsa ni neno umelitoa kwenye kuruani? Nimelitafuta kwenye kamusi nimelikosa
 
Lowassa si mpinzani, alitemwa CCM akanunua kugombea Urais chadema, Mbowe kala mshiko mrefu, cheza na mchagga wewe?
Aende kwanza Magufuli maana hata kipindi kile anaanza uongozi alidhani kuwa kipaumbele chake cha kwanza ni kuvunja nyumba za walala hoi! Kikwete akaona huko sasa ni kuleta uonevu akaenda ikulu akamwambia asitishe! Ni kweli kuwa wapinzani tumekwama ila Magufuli ndo amekwama mara elfu ya wapinzani. Hivyo anayetakiwa kwenda kwanza ni Magufuli na siyo wapinzani.

Pia taitizo la upinzani limesababishwa na sera mbovu za Magufuli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom