Wapinzani hawana hoja, na kama wanayo hoja yao ni ipi?

Yaani wapinzani wanapenda sana mic, vile wakibwabwaja matusi yao na lawama kibao na malalamiko km yote na kupigiwa makofi na clips kusambaa mitandaoni wao wanaona Yes, tomorrow is here! Who lied to you dear friends?

Grow up dudes!
 
Ki ukweli, tukiachana na itikadi za ki chama, bado upinzani hawana mkakati mathubuti wa kushika dola.

Bado, hawana hoja nzito na za kudumu za kuwashiwish wananchi hadi waamue kuwapigania wakanate dola.

Hoja zao ni nyepesi mno, na hata hivyo hazi click sana kwa majority ya watanzania.

Hata hivyo, hizo hoja nyepesi nyepesi za kuwarubuni wananchi bado wanaziokota toka kwa baadhi ya watu wanaoihujumu CCM. Lakini kama wapinzani wao hawana hoja ya maana kabisa.

Well, CCM kweli kuna baadhi ya mizinguo tunafanya lkn sio mizinguo ya kushutua Jamii kiasi cha kuwapa credit kubwa wapinzani.

Wapinzani, msidhani kushika dola ni Sawa na kunya na kuchamba, guys this battle real not a fun. Kwa hizi siasa zenu maskini na uchwara you have a very very long way to go dear friends.

Sisi CCM tunatamani tufikie level ya Yanga na Simba ama Democrats na Republicans lakini kiukweli mko shallow balaa...

You are simply not serious in the game. You are just making fun!

Hv, mnajua CCM bado hata hatujawaza ku press ile button ya hali ya hatari Kwa uwahi wa chama?! Why should we? And who is making us press that button?! Who?!! Simply hamna.

Mnalia kila day kuhusu polisi, tume huru. Ok, nyie mnafanya juhudi gani ya dhati kabisa kukabiliana na hayo? Hakuna juhudi zozote zaidi ya kulialia tena mitandaoni.

Rafiki zetu, onyesheni uthubutu. Show the world that you mean the business. Acheni kumbwela, Kwa mwendo huu mnaoenda nao, forget about kushika dola just keep thinking about petty issues, dola is above your levels babies!

Dola?! Do you know what are you really fighting for?! Yaani frontline yenu ni wadada tupu hata hamna mwanaume japo mmoja: Mange Kimambi, Akina Fatma Karume, Maria and the likes!

Halafu eti mnataka kushika dola! Halafu, mnataka tuwape kwenye ki sahani.

I love you wapinzani! But you have to grow up, tupeni ushindani mnatuboa SANA ujue!

CCM for the Country!
Well said guy

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Hoja yao ni kusifu na kuabudu
Tunafanya siasa Mkuu, tupo kwenye 'political business' usijesahau, maana ndio maana huwa tunawanyuka kwenye boksi la kura kwa sababu huwa tunawapa mwanya wa ku pick petty issues ambazo hazi branding mbele ya wapiga kura
 
Hoja ipo mashehe wa Zanzibar kuwakamata kisa imani tap tukichukua dola watakuwa free
 
Ajabu ni kuwa ccm inatumia vyombo vya dola kupambana na upinzani usio na hoja. Kwanini msipeleke hoja zenu nzuri kwa wananchi ili wawachague kwa haki?
 
Vyombo vya dola kazi zao ni ulinzi na usalama wa nchi, raia, mali zao na utii wa Sheria. We unataka Sheria tulizoweka wenyewe zivunjwe na huku tuna vyombo vya kulinda Sheria?! Kwamba, nyie mngevunja Sheria, si ndio?!
 
Hoja ipo mashehe wa Zanzibar kuwakamata kisa imani tap tukichukua dola watakuwa free
Hii nchi inaongozwa kwa sheria. Mahakama zipo, kwa ajili ya wote. Sasa, ulitaka tusifuate utaratibu wa ki sheria kwenye masuala yanayohusu sheria za nchi? Kwamba, nyie mkishika dola basi sheria nayo haitafuatwa?!
 
Vyombo vya dola kazi zao ni ulinzi na usalama wa nchi, raia, mali zao na utii wa Sheria. We unataka Sheria tulizoweka wenyewe zivunjwe na huku tuna vyombo vya kulinda Sheria?! Kwamba, nyie mngevunja Sheria, si ndio?!
kwahiyo kuhakikisha ccm inabaki madarakani hata kama wanancho hawaipendi nayo ni usalama wa nchi?
 
Wana JF ndio vinara wa kushabikia upinzani, now come here and prove me wrong!

Hoja yenu wapinzani ni upi?!
Mmeshindwa kutimiza ilani ya uchaguzi mfano miwili
Mliahidi ajira mamilion kwenye Uk. 7 wa ilani yenu lakini nikikumbushe tu licha ya Rais kusema kuna ajira laki 6 zimetengenzwa ila watu laki 9 kila mwaka kuanzia 2016-20 wameingia kwenye soko la ajira ikimaanisha 70%+ ya vijana hawana ajira kinyume kabisa na ilani yenu.

2. Uk wa 14 mliahidi kufikia 2020 Hekta Million 2 za kilimo cha umwagiliaji lakini mpaka sasa hamjafika hta laki 2 tokea 2016 ikimaanisha kilimo cha kisasa ni ndoto na kilimo cha umwagiliaji bado ni ndoto hivyo wakulima hawama uhakika wa biashara hiyo na hata vijana wameogopa kuwekeza huko sababu ya risk hizo. Kwahiyo mmeshindwa inua kilimo kabisa kinyume na ilani yenu.

Hiyo ni mifano tu......

Sasa ukija CHADEMA wakati wauchaguzi watanadi sera zao mpya toleo la 2018 kuanzia kilimo, uchumi,afya mpaka elimu na kuonyesha kivipi CCM imefeli kwa miaka 50 kubadilisha maisha ya watanzania na wao watahakikisha wanatekeleza wakipewa dola.

Kwahiyo mpaka hapo wakulima na vijana wasio na ajira wanageuka mtaji wa kura mind you 70% ya wapiga kura ni vijana na wakulima ni 70% ya labor force.

Kingine nakuomba ukasome hizo sera zimeuploadiwa humu JF, pia kasome katiba ya chadema uelewe wanasimamia nini hasa sera ya ugatuzi na uchumi wa soko maana naona unadai hawana hoja wakati Hata hujui sera kuu ya chadema.

Pia kasome bajeti mbadala ya KUB utaona kipengele kwa kipengele wapinzani wanasimamia nini na watatekelezaje.
 
Ki ukweli, tukiachana na itikadi za ki chama, bado upinzani hawana mkakati mathubuti wa kushika dola.

Bado, hawana hoja nzito na za kudumu za kuwashiwish wananchi hadi waamue kuwapigania wakanate dola.

Hoja zao ni nyepesi mno, na hata hivyo hazi click sana kwa majority ya watanzania.

Hata hivyo, hizo hoja nyepesi nyepesi za kuwarubuni wananchi bado wanaziokota toka kwa baadhi ya watu wanaoihujumu CCM. Lakini kama wapinzani wao hawana hoja ya maana kabisa.

Well, CCM kweli kuna baadhi ya mizinguo tunafanya lkn sio mizinguo ya kushutua Jamii kiasi cha kuwapa credit kubwa wapinzani.

Wapinzani, msidhani kushika dola ni Sawa na kunya na kuchamba, guys this battle real not a fun. Kwa hizi siasa zenu maskini na uchwara you have a very very long way to go dear friends.

Sisi CCM tunatamani tufikie level ya Yanga na Simba ama Democrats na Republicans lakini kiukweli mko shallow balaa...

You are simply not serious in the game. You are just making fun!

Hv, mnajua CCM bado hata hatujawaza ku press ile button ya hali ya hatari Kwa uwahi wa chama?! Why should we? And who is making us press that button?! Who?!! Simply hamna.

Mnalia kila day kuhusu polisi, tume huru. Ok, nyie mnafanya juhudi gani ya dhati kabisa kukabiliana na hayo? Hakuna juhudi zozote zaidi ya kulialia tena mitandaoni.

Rafiki zetu, onyesheni uthubutu. Show the world that you mean the business. Acheni kumbwela, Kwa mwendo huu mnaoenda nao, forget about kushika dola just keep thinking about petty issues, dola is above your levels babies!

Dola?! Do you know what are you really fighting for?! Yaani frontline yenu ni wadada tupu hata hamna mwanaume japo mmoja: Mange Kimambi, Akina Fatma Karume, Maria and the likes!

Halafu eti mnataka kushika dola! Halafu, mnataka tuwape kwenye ki sahani.

I love you wapinzani! But you have to grow up, tupeni ushindani mnatuboa SANA ujue!

CCM for the Country!
Chama chako kimebadili jina kinaitwa CCMAGEREZA.
Wanachama wake wameonekana wakipandisha bendera huko dodoma na magari yao toka ISANGA.
 
Hv unakumbuka asilimia ngapi ya watanzania walipiga kura ya kukataa vyama vingi?! Unadhani, hao watanzania bado hawapo hadi leo?! Take a point here!
Mwanzoni nilidhani unahoja kumbe propaganda. Mtaji wa upinzani miala yote ni millenials na sio Tz tu bali Ug, zimbabwe,SA etc sasa hao wamezaliwa wamekuta vyama vingi na ndio 70% ya Watanzania na Wapiga kura kwahiyo hao waliokataa vyama vingi kma wamebaki ni below 20% na hawana impact tena.

Alafu kingine kipindi kile propaganda za CCM zilidai upinzani ukipita nchi itaingia vitani nakumbuka hata mimi nikiwa mdogo kipindi hiko tuliambiwa upinzani ukipita tu makanisa yatafugiwa mbuzi na sijui nchi itapinduliwa watu wakawa na hofu sana ila nadhani uliona matokeo ya uchaguzi 1995 jinsi CCM ilivyokataliwa wazi wazi.

Kwahiyo huwezi tumia data za 1990 kujenga hoja ya miaka 30 baadae it's weird.
 
Mmeshindwa kutimiza ilani ya uchaguzi mfano miwili
Mliahidi ajira mamilion kwenye Uk. 7 wa ilani yenu lakini nikikumbushe tu licha ya Rais kusema kuna ajira laki 6 zimetengenzwa ila watu laki 9 kila mwaka kuanzia 2016-20 wameingia kwenye soko la ajira ikimaanisha 70%+ ya vijana hawana ajira kinyume kabisa na ilani yenu.

2. Uk wa 14 mliahidi kufikia 2020 Hekta Million 2 za kilimo cha umwagiliaji lakini mpaka sasa hamjafika hta laki 2 tokea 2016 ikimaanisha kilimo cha kisasa ni ndoto na kilimo cha umwagiliaji bado ni ndoto hivyo wakulima hawama uhakika wa biashara hiyo na hata vijana wameogopa kuwekeza huko sababu ya risk hizo. Kwahiyo mmeshindwa inua kilimo kabisa kinyume na ilani yenu.

Hiyo ni mifano tu......

Sasa ukija CHADEMA wakati wauchaguzi watanadi sera zao mpya toleo la 2018 kuanzia kilimo, uchumi,afya mpaka elimu na kuonyesha kivipi CCM imefeli kwa miaka 50 kubadilisha maisha ya watanzania na wao watahakikisha wanatekeleza wakipewa dola.

Kwahiyo mpaka hapo wakulima na vijana wasio na ajira wanageuka mtaji wa kura mind you 70% ya wapiga kura ni vijana na wakulima ni 70% ya labor force.

Kingine nakuomba ukasome hizo sera zimeuploadiwa humu JF, pia kasome katiba ya chadema uelewe wanasimamia nini hasa sera ya ugatuzi na uchumi wa soko maana naona unadai hawana hoja wakati Hata hujui sera kuu ya chadema.

Pia kasome bajeti mbadala ya KUB utaona kipengele kwa kipengele wapinzani wanasimamia nini na watatekelezaje.
Huyu zwazwa akijibu hizi hoja,atakuwa amejipanga,anadhani ana akili kuliko Lumumba wote ambao wameamua kuacha kunadi chama chao Cha CCM na kumnadi mgombea utasikia chagua Meko,badala ya cc.Halafu hata Imani ya chama chao hawaijui.
 
Maelezo yanaashiria ugomvi unaweza aje kusema wananchi hawajashawishiwa ilhali dola imeziba kila mahali? Au unataka upinzani watumie nguvu kushawishi? Wao kuepusha shari wanatumia upenyu mdogo wanaoupata wakikamatwa wanashughulikia kesi ikiisha wanatafuta upenyu subiri utasikia hoja zao siku wakifunguliwa
 
Vyombo vya dola kazi zao ni ulinzi na usalama wa nchi, raia, mali zao na utii wa Sheria. We unataka Sheria tulizoweka wenyewe zivunjwe na huku tuna vyombo vya kulinda Sheria?! Kwamba, nyie mngevunja Sheria, si ndio?!
Unaujua ukweli kabisa vyombo vyote vya dola viko nyuma yenu, nakuambia kitu kimoja tume zote, taasisi zote zikiwa huru nyie mapema sana mnangoka.....

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Huyu zwazwa akijibu hizi hoja,atakuwa amejipanga,anadhani ana akili kuliko Lumumba wote ambao wameamua kuacha kunadi chama chao Cha CCM na kumnadi mgombea utasikia chagua Meko,badala ya cc.Halafu hata Imani ya chama chao hawaijui.
Mkuu hawa vijana wamefeli kwenye propaganda, wamekaririshwa upinzani sijui hauna sera sijui umekufa ilihali wakisikia maandamano na mikutano wanaanza vitisho vya polisi. Kama upinzani umekufa kwanini wanaogopa tume huru? Kwanini waengue wagombea? Kwanini wazuie mikutano?.

Hizi propaganda mwisho ni oktoba.
 
Back
Top Bottom