Kwa hali ya kisiasa iliyopo wapinzani na wafuasi wa vyama vya upinzani inabidi wachague kuwa moto ama baridi, baridi kwa maana kwamba waache kuongea au kukosoa chochote ambacho serikali inakifanya wawe bendera fuata upepo na watu wa ndioooo, au waamue kuwa moto kupambana na serikali kupinga uonevu ikiwemo hata kuandamana na kupigwa virungu.
Kwa hali iliyopo sasa wapinzani wamekuwa vuguvugu wako disorganised sana kila mtu yupo kivyake na hii inawapa serikali nafasi ya kuwanyanyasa na kuwasweka ndani, kama upinzani umeshindwa siasa za kiharakati kaeni kimya mtajikuta mmejazana magerezani na hakuna atakae watetea, Watanzania wenyewe hawajitambui kabisa.
Upinzani amueni moja vinginevyo mtakwisha.