Wapinga nauli ya treni ya 700 na 800/=

wangeanza na miatatu ili badae wapandishage,wakati watu wameshazoea..

Kama vile wanavyofanya ndege? unaambiwa nauli 99,000/= kila baada ya wiki inaogezeka baada ya mwezi inafika 180,000/= na wanakuwa sawa na mashirika mengine na tayari wameshajitangaza.
 
Unajua ili tuweze kujua kama bei ni kubwa au ndogo inabidi tujiulize yafuatayo:-
  • Gharama za uendeshaji
  • Je usafiri mbadala ni kiasi gani ?
  • Je kodi zetu zitumike ku-subsidize huu usafiri ?
  • Issue ya huu usafiri ni kusaidia wananchi kupunguza gharama au ni kupunguza msongamano ?
Hiyo nauli ilikuwa nikuwafanya na daladala/private transportation nao waongeze bei...Na kama ingepitishwa ni lazima wangegoma...
 
Mkuu, kwa waliopata bahati ya kwenda duniani watakushuhudia kwamba ili mradi unaitwa usafiri wa ndani ya mji, nauli huwa haitokani na umbali wa vituo. Nauli huwa ni moja tu.
mkuu una uhakika na usemacho?, kuna sehemu nyingi nimekwenda hata huko kuna category za nauli minimum(short hop) au maximum kama umbali umezidi vituo kadhaa, day saver (unatembe siku nzima) evening saver, off peak, n.k. lakini inabidi ufahamu kwa zile routes ambazo hazina faida serikali au city council huwa inatoa ruzuku kama usafiri ni private owned ili kufidia, as well as matangazo kama kwenye mabasi ni another source of income kwahio cha maana hapa kwanza ni kujiuliza je hizi train ni efficient na kama sio je tutafute zenye gharama ndogo au serikali/kodi zetu zigharamikie ile ziada
 
Hiyo nauli ilikuwa nikuwafanya na daladala/private transportation nao waongeze bei...Na kama ingepitishwa ni lazima wangegoma...

unajua tatizo letu supply ni ndogo kuliko demand wangegoma kwani wao pia wana train? inabidi ifike wakati ushindani wa biashara ndio urekebishe bei hivi unadhani jiji ikimwaga basi zake kama elfu kumi dar na kuweka robo bei wengine hawatashusha?

Tukumbuke kwamba kama hizo trains sio efficient na zinakula pesa nyingi usipolipia kwa nauli mwisho wa siku unalipia kwa kodi yako
 
Hilo la efficiency ya train private sector hailielewi. cost of operations hata private sector wanayo ila cha msingi ni kuangalia uwezo wa mtanzania wa kawaida. nchi nyingine suala la usafirishaji ni la serikali lkn hapa imeshindikana..
 
Najua nauli rasmi iliyopitishwa ni 500 kwa 400 ie TZR vs TRL
to me ni reasonable bse imagine unatoka mwakanga mpaka kurasini kwa tshs 500 wakati apo lazima ungedaka gari mbili tena kwa kuchelewa
 
Hilo la efficiency ya train private sector hailielewi. cost of operations hata private sector wanayo ila cha msingi ni kuangalia uwezo wa mtanzania wa kawaida. nchi nyingine suala la usafirishaji ni la serikali lkn hapa imeshindikana..
Haijashindikana ni wazembe, lakini point yangu ni kwamba bila kujua gharama za kutumia hii train kwa sasa ni vigumu kwa daladala na yeye kusema bei yake iendane na daladala ni kama vile wenye ndege walalamike kwamba wenye meli au bajaji au baiskeli wanachaji bei ya juu kwahio na wenyewe wachaji bei ya tofauti, sababu they are different modes of transport na bila kuona running costs ni vigumu kusema lolote kwa sasa...

Ila issue ni kwamba inabidi Jiji kwa kutumia makusanyo yao ya kodi kuhakikisha wanaleta usafiri bora na pale gharama inapozidi wenyewe kufidia
 
mkuu una uhakika na usemacho?, kuna sehemu nyingi nimekwenda hata huko kuna category za nauli minimum(short hop) au maximum kama umbali umezidi vituo kadhaa, day saver (unatembe siku nzima) evening saver, off peak, n.k. lakini inabidi ufahamu kwa zile routes ambazo hazina faida serikali au city council huwa inatoa ruzuku kama usafiri ni private owned ili kufidia, as well as matangazo kama kwenye mabasi ni another source of income kwahio cha maana hapa kwanza ni kujiuliza je hizi train ni efficient na kama sio je tutafute zenye gharama ndogo au serikali/kodi zetu zigharamikie ile ziada

Mkuu, I'm talking from experience, kwa bahati nzuri nimetembea kwa kipindi kirefu na sasa niko huko.
 
Kwangu mimi ikiwa 700 au 800 ni cheap,
cuz napanda bus mpaka buguruni kwa sh 700!
 
Mkuu, I'm talking from experience, kwa bahati nzuri nimetembea kwa kipindi kirefu na sasa niko huko.
mkuu ni wapi huko ambapo nauli ni flat rate (kwa magari yanayoenda kwa masafa marefu).., na kama ni flat rate huoni kwamba yule anayeshuka one stop (baada ya kituo kimoja atakuwa amenyonywa..) mimi sehemu nilipotembelea kuna mpango mzuri sana unaweza ukakata day saver (ambayo ni cheap) au hata weekly au monthly saver alafu unakuwa unapanda tu gari.., lakini kuna ile minimum amount mfano kituo kimoja, as well as kuna maximum amount ambayo ni from a certain distance mpaka mwisho wa safari..,

kwahio mkuu ninachobisha sio kweli kwamba transport fare sio direct propotional na safari unayokwenda (long route..., more cash...)
 
Bei sio mbaya kihivyo, naona labda wamefikiria vizuri kuangalia target market, wale ambao wanathamini zaidi muda wao watapanda treni kuepuka kunasa kwenye foleni, wale ambao hawawezi kumudu watapanda mabasi ili kuokoa fedha, hii inaweza kuwa ni win win, tuwape muda.
 
mkuu ni wapi huko ambapo nauli ni flat rate (kwa magari yanayoenda kwa masafa marefu).., na kama ni flat rate huoni kwamba yule anayeshuka one stop (baada ya kituo kimoja atakuwa amenyonywa..) mimi sehemu nilipotembelea kuna mpango mzuri sana unaweza ukakata day saver (ambayo ni cheap) au hata weekly au monthly saver alafu unakuwa unapanda tu gari.., lakini kuna ile minimum amount mfano kituo kimoja, as well as kuna maximum amount ambayo ni from a certain distance mpaka mwisho wa safari..,

kwahio mkuu ninachobisha sio kweli kwamba transport fare sio direct propotional na safari unayokwenda (long route..., more cash...)

Mkuu, nilishaongea hapo kabla, ukiishasema this is a town bus, tram or metro maswala ya nauli kutegemea umbali wa kituo hadi kituo huwa hayapo tena, kwa sababu watu wanapanda na kushuka karibu kila kituo, hivyo nauli zinaji-compensate zenyewe.
Na hiyo ni kwa miji mingi tu duniani. Tafadhari, I ain't talking about inter-city transport connections but within!

Kwa mfano ukipanda metro ya mzunguko, waweza kuzunguka tangu asubuhi hadi jioni kwa nauli ile ile kama hutotoka nje ya kituo japo kimoja. Kwa mfano mdogo tu muulize mtu aliyekwenda Paris au Moscow n.k. atakupatia hiyo experience.
 
Umechukulia mfano wa Paris.., Okay naomba uangalie nilichokisema hapo juu na hii extract niliyoitoa kwenye hii website ya metro Paris.., alafu kama ni within Town watakuwa wamefanya hivyo sababu mwisho wa siku umesema karibia kila kituo mtu anashuka.., pia kumbuka mabasi haya mengi profit au break even haitoki kwenye nauli unayotoa wewe bali ni matangazo as well as subsidy..,; pia mkuu am not talking about inter-city as well na sio safari ndefu kama kwenda miji mingine..

Metro, RER and Bus tickets prices in Paris

There are a wide variety of tickets available including single ride tickets, books of 10 or 20, single day passes, multi-day passes, Monday to Sunday week passes, monthly passes and year passes.

Metro, RER, Buses

The single ticket price is 1,70€. Books of ten, called a "carnet", are sold at a discount for 12,70€. Children from ages 4 to 9 years old can use reduced fare tickets, which are available only in books of 10 or 20, for 5,70€ per book of ten. Children 3 and under ride for free.

Keep hold of your ticket until you have completed your journey, as you may be asked to show it if tickets are being inspected. If you cannot produce proof of payment for the ticket inspectors, you may risk paying a fine. This ticket, valid for zones 1 and 2, allows you to travel anywhere in Paris, and even beyond, since it will take you to the end of each metro line, even if it is located in zone 3 (as for example La Défense on line 1).

paris_metro_tickets.gif

You can also choose a weekly or monthly “Carte Orange” pass, and other kinds of travel pass valid for unlimited travel during 1 or more days. These can be purchased from the ticket offices or machine in the stations, their prices vary depending on the travel zones covered (see “Travel passes and reductions”). You will need a passport-sized photo for these passes, obtainable from the photo booths in some metro stations (make sure you have the correct change).
In the RER, as long as you remain within the city limits, tickets and prices are identical to the metro (RER stations also have their own ticket offices and machines). If you are travelling beyond the city limits, you need to ensure that you are in possession of a ticket or a pass which covers your whole journey up to your destination in the Ile-de-France region. If not, you will not be able to go through the automatic barriers on arrival and you may be liable to a fine. The RER ticket also covers your journey and any connections within Paris (zones 1 and 2), on your outward and return journeys.

On the buses in Paris, you use the same tickets as in the metro, with no limit of distance (including suburbs), except on the Balabus, Noctilien and routes 221, 297, 299, 350 and 351. The bus driver can sell single tickets, be sure to have the correct change.

Prices shown are subject to change.

Source: Metro and RER tickets prices in Paris - Paris metro prices
 
Umechukulia mfano wa Paris.., Okay naomba uangalie nilichokisema hapo juu na hii extract niliyoitoa kwenye hii website ya metro Paris.., alafu kama ni within Town watakuwa wamefanya hivyo sababu mwisho wa siku umesema karibia kila kituo mtu anashuka.., pia kumbuka mabasi haya mengi profit au break even haitoki kwenye nauli unayotoa wewe bali ni matangazo as well as subsidy..,; pia mkuu am not talking about inter-city as well na sio safari ndefu kama kwenda miji mingine..

Mkuu, mimi si mjuvi wa lugha ya kiingereza, ila huwa ninakielewa japo si sana. Hapa unapata tafsiri gani?
There are a wide variety of tickets available including single ride tickets, books of 10 or 20, single day passes, multi-day passes, Monday to Sunday week passes, monthly passes and year passes.

Metro, RER, Buses

The single ticket price is 1,70€. Books of ten, called a "carnet", are sold at a discount for 12,70€. Children from ages 4 to 9 years old can use reduced fare tickets, which are available only in books of 10 or 20, for 5,70€ per book of ten. Children 3 and under ride for free.

Keep hold of your ticket until you have completed your journey, as you may be asked to show it if tickets are being inspected. If you cannot produce proof of payment for the ticket inspectors, you may risk paying a fine. This ticket, valid for zones 1 and 2, allows you to travel anywhere in Paris, and even beyond, since it will take you to the end of each metro line, even if it is located in zone 3 (as for example La Défense on line 1).

Baada ya hapo naomba mkuu uniambie usafiri wa metro Paris wanatoza cent ngapi kwa kilometre, ili kuthibitisha usemi wako kwamba umbali ni kigezo cha nauli kwa usafiri wa mjini?
 
Mkuu hapa tutabishana mpaka kesho naona.., naona ili twende vizuri tuanzie kwenye CITY (unamaanisha nini ?) je ni within a town ?, Zone Moja au ni Zone ngapi..,

nikirudi tena kwenye sentensi iliyoleta huu mjadara ni kwamba usafiri ukiitwa wa City haijalishi umbali..., ndio tunarudi tena pale kama unasafiri kutoka Zone moja mpaka nyingine (ambayo ni umbali) prices zinabadilika na prices zipo tofauti na sio moja tu kama ulivyosema

alafu tukiangalia tena kwenye extract....

On the buses in Paris, you use the same tickets as in the metro, with no limit of distance (including suburbs), except on the Balabus, Noctilien and routes 221, 297, 299, 350 and 351. The bus driver can sell single tickets, be sure to have the correct change.

utaona kwamba hakuna limit ya distance kujumuisha na vitongoji lakini sio baadhi ya routes.., 221, 297, 299, 350 na 351.., sasa mkuu unadhani hapo wanatumia kigezo gani ?, majina ya routes, wingi / uchache wa watu au umbali wa safari..?
 
Back
Top Bottom