Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Hawa ndiyo walikuwa wanapinga mabeberu kwelikweli,sio hawa wachumba wa sasa hivi leo anapiga mkwara kesho anaenda kupiga magoti kuomba hela ya kutengeneza vyoo vya shule!
Anawakula sensa.Hapo anawafanyaje mabeberu huyo Idd Dada Amini
Jiwe nae aige kwa vitendo kutoka kwa Iddi Amini, ndio nitamuona jembe. Sio kwa maneno tu.Jamaa alipinda sana [emoji23][emoji23]
Kama anashindwa kulitaja jina la Tundu Lissu hadharani, hayo mengine ataweza?Jiwe nae aige kwa vitendo kutoka kwa Iddi Amini, ndio nitamuona jembe. Sio kwa maneno tu.
Tena walimbeba kumpeleka KATIKA ukumbi ulio kuwa ukifanyika mkutano wa iliyokuwa Organization Of African Unity.(O.A.U)Kuna picha moja alipiga wakiwa wamembeba.
Jamaa alikuwa na asira nao
Mugabe aliwafanyaje ??Mugabe ndio alikuwa kiboko yao!!!
Halafu wameshindwa kuyalima, wamebaki kukimbilia Africa Kusini.Aliwanyang'anya mashamba waliyojimilikisha enzi za ukoloni na kuyagawa kwa wazawa.
Mugabe aliwafanyaje ??
Huyo Mugabe si alikuwa na maneno matupu bila vitendo Kama jiwe na car bood wakeSikiliza speech zake kule UNO kwenye U-TUBE!!
UVIVU WAO tatizo sio MugabeHalafu wameshindwa kuyalima, wamebaki kukimbilia Africa Kusini.
Mugabe mmoja kawaacha wakiwa na hali tete mpaka leo. Njaa haiishi Zimbabwe kila leo
Huyo Mugabe si alikuwa na maneno matupu bila vitendo Kama jiwe na car bood wake