Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Hahaha kila mtu anaiwaza ikulu jamani
Kuna biashara nzuri. Naona hata lowasa mzee wa richmond anautaka ati. Unadhani kachoka kutengeneza kampuni feki
Dah watu wengine wana moyo sana. Hivi kutwa kucha na shughuli zote za ikulu miaka kenda bado tu huchoki? Kikwete na Obama wamezeeka na majukumu....
Akiwa rais huyu itabidi kuwe na spesho oda za hendkachifu za kumfuta machozi...