Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,124
Mtaani kwetu ukiitwa Mtaalam wa Dead Ball ina maanisha wewe wasichana wako ni wale wepesi kuwapata (malaya) sasa hiyo Dead ball labda ile mipira ya kuwekewa kumalizia uwanjaniDead ball ndio Mpira gani, eti mpira uliokufa umekufaje sasa, nielewesheni.