Wapigaji Wangu Hatari wa Mipira Iliyokufa(dead ball) Wa muda wote

Asante mkuu wa Kutujuza tatizo bongo hatuna data za wachezaji na magoli yao leo ukigoogle utapata magoli ya wachezaji tajwa hapo juu.
Pia Kassimu Manara alikuwa hodari sana wa hii mipira
 
Huyu Pale Ot alionekana hamna kitu ila kaenda pale Atl madrid akawa mcharo kweli kwa dead ball c ndo aliwachapa ghana kwa dead ball Gyan akileta madoido kwenye mkaju wa penati
Ile dhahama ya Ghana ilipeleka kilio Afrika nzima watu walitegemea kwa mara ya kwanza kutinga nusu fainali, hahahaa.
Huyo jamaa faulo zake anapopiga huku we presha inapanda inashuka kule kwao wanampa heshima kubwa sana.
 
Uyu jamaa ile miguu yake sijui ilikua na Nini kuna game yao akiwa barca wakicheza na Villaleal ya akina Sorin,Senna huyu naye alikua kiungo mtamu sana sema kaja zama za akina xaxi na iniesta akakosa kuwika na Muargentina Flani Riqqueleme Sijui kama nimeandika vizuri naye alikua mzuri kwa dead ball,Gaucho alifunga goli zuri sana

Daaah! We jamaa mtu mbaya unawajumbuka kina sorini!! Juan
Riquelme, pia alikuwa ana ujua sana huyi bhana, naye alikuwa akiotea dead balls lazima umkome.
Nadhan Gaucho asingezidisha starehe angeweza kuwa na misimu miwili zaid ya maajabu..
 
Sorin naye alikua kiungo mjanjamjanja sana nakumbuka game moja na Arsenal Kama sikosei arsenal kashinda moja Riquelme au sorin akikosa mkwaju wa penati.
 
Hawa Yugoslavia walikua watamu sana ila baada ya kuanza kugawanyika zile nchi kwisha habari yao.

Nakumbuka nlikua na book la Stika za wachezaji kati ya wachezaji wagumu kuwapata alikua yeye na BEBETO,Nakumbuka kuna jamaa walimwibia picha yake ya Bebeto aliangua kilio balaa

book langu mpaka leo ninalo.
Juzi kuna jamaa alikuwa anatuambia mpaka sasa huwa ansikitika kwani kuvunjika kwa yugoslavia ulikuwa ni msiba wa mpira.
Maana fikiria watu kama kina

Matic, Kovacic, Srna, Brozovic Mario Mandzukic. Pjanic, Dzeko, Modric, Lovren, Kolarov, Perisic, Rakitic na jovetic ilibidi wawe timu moja ya Yugoslavia
Hiyo timu ya taifa nani angeweza kuifunga kizembe leo?.
Yaan yugolsvia illitunyima raha sana kuvunjika
 
Daaah! We jamaa mtu mbaya unawajumbuka kina sorini!! Juan
Riquelme, pia alikuwa ana ujua sana huyi bhana, naye alikuwa akiotea dead balls lazima umkome.
Nadhan Gaucho asingezidisha starehe angeweza kuwa na misimu miwili zaid ya maajabu..
Wachezaji wa Latin Amerika starehe mingi ile Beach ya Copa Cabana inaua vipaji ningekua presidaa wa brazil naifunga kabsa hahahaa watu kama Adriano Ribeiro Forward flan mtata hivi kakipiga pale Intermilan,Luis Fabiano wamepotea wakati dunia bado inawahitaji,hawa kina Robihno,Kuna msimu nasikia wanaomba likizo kwenda kucheza ngoma zao za Samba hapo lazima kiwango kishuke.
 
Juzi kuna jamaa alikuwa anatuambia mpaka sasa huwa ansikitika kwani kuvunjika kwa yugoslavia ulikuwa ni msiba wa mpira.
Maana fikiria watu kama kina

Matic, Kovacic, Srna, Brozovic Mario Mandzukic. Pjanic, Dzeko, Modric, Lovren, Kolarov, Perisic, Rakitic na jovetic ilibidi wawe timu moja ya Yugoslavia
Hiyo timu ya taifa nani angeweza kuifunga kizembe leo.
Yaan yugolsvia illitunyima raha sana kuvunjika
Ila imekua ahueni kwa baadhi ya mataifa aisee hahahaa bado hawa akina Marek Hamsiki.
 
Wachezaji wa Latin Amerika starehe mingi ile Beach ya Copa Cabana inaua vipaji ningekua presidaa wa brazil naifunga kabsa hahahaa watu kama Adriano Ribeiro Forward flan mtata hivi kakipiga pale Intermilan,Luis Fabiano wamepotea wakati dunia bado inawahitaji,hawa kina Robihno,Kuna msimu nasikia wanaomba likizo kwenda kucheza ngoma zao za Samba hapo lazima kiwango kishuke.
Hahahaha
Luis fabiano na kina adriano
Wana nikumbusha confederation cup ya 2005, wameshinda tu wakaanza kicheza samba
Wengi hata world cup hawakwenda kabsa
Walikuwa washa isha
 
Umemsahau George Hadhji?
Huyu Mromania naye alikua fundi ila sijajua kuhusu Ufundi wa Dead ball nakumbuka kizazi chao cha Akina Dan Petrescu walikua watata sana wanaweza kuamua timu nzima wabableach nywele au ukashangaa wamefunga wote wakavua Bukta.
 
Umemsahau goli kipa Rogerio Ceni, ni mbrazili huyu alikuwa anachezea sao paulo na alikuwa hodari sana wa hii mipira iliyokufa. Kama sijakosea aliwahi kufunga magoli takribani 52 ya namna hii akiwa dimbani.
 
Kuna goalkeeper mmoja kutoka America ya kusini, sikumbuki jina exactly, Ila ndiye kipa aliye kuwa akiongoza kwa magoli , magoli yake mengi yalikuwz ni dead balls,
 
Hawa ni Wachezaji Hatari sana waliyowahi kutokea Duniani kwa Upigaji wa Mipira Iliyokufa(dead ball) Haijalishi walikua wanapiga mipira kutokea Kona gani Ila kati ya Mipira 5 lazima minne Itie Kambani.
Kuna huyu ex-Inter Milan Player, Álvaro Recoba, alikuwa balaa...
220px-Alvaro_Recoba.jpg
 
Back
Top Bottom