sajumo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,834
- 1,056
Naona sasa kuna haja ya kufundishana namna ya kupiga picha kuna baadhi ya picha unaona kabisa hazijabeba details muhim
Kutokana na mpiga picha kukosa timing ya picha au kukosea angle ya yeye kuchukulia hiyo picha
Kama hii picha huyu mpiga picha kakosea timing kwann asisubili mhusika ashushe mguu
Sent using Jamii Forums mobile app