Wapiga ndio wana lalamika pesa ngumu

Abedibukulu

Member
Nov 27, 2016
24
9
Hivi kumbe Nchii inawapiga dili wengi ndio maana mna lalamika pesa hakuna ni hatari sna
Mama lishe wapiga dili
Bodaboda wapiga dili
Machinga wapiga dili
Makonda na madereva wapiga dili
Wauza mboga mboga wapiga dili

Kweli Nchi yetu hilikuwa imefika pabaya lakini swalo je? Mipga dili niyule anae toa kodi au anae kusanya kodi

Abedi bukulu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom