Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Uchaguzi umekwisha lakini yaelekea maumivu ndiyo kwanza yanaanza kusikika kwa wapiga debe wa CCM jijini mwanza ambao waliahidiwa kila mmoja Tshs 50, 000/= kwa kazi nzuri ya kuimba na kuhudhuria mikutano ya CCM..............wengi wao ni akinamama na ambao kwa wingi wao walikipigia kura chama hicho tawala ili kishinde.........
lakini vilio na kusaga meno vilijitokeza baada ya CCM kufungashiwa virago vyao na wapigakura wa Ilemela ............na waliowaahidi akina mama hao wakaingia mitini bila ya kutekeleza ahadi zao za kuwalipa............wakidai nao hawajalipwa.............................wengi wa akinamama hao sasa wamehamia Chadema ambako wamenusa kutakuwa na milo ya uhakika............
Kwa vile vyama vyetu hivi hakuna chenye kuongozwa na kufuata itikadi basi ulaji ndiyo sababu ya kuwa chama fulani.....