Elections 2010 Wapiga debe wa CCM Ilemela walia kutapeliwa............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Uchaguzi umekwisha lakini yaelekea maumivu ndiyo kwanza yanaanza kusikika kwa wapiga debe wa CCM jijini mwanza ambao waliahidiwa kila mmoja Tshs 50, 000/= kwa kazi nzuri ya kuimba na kuhudhuria mikutano ya CCM..............wengi wao ni akinamama na ambao kwa wingi wao walikipigia kura chama hicho tawala ili kishinde.........

lakini vilio na kusaga meno vilijitokeza baada ya CCM kufungashiwa virago vyao na wapigakura wa Ilemela ............na waliowaahidi akina mama hao wakaingia mitini bila ya kutekeleza ahadi zao za kuwalipa............wakidai nao hawajalipwa.............................wengi wa akinamama hao sasa wamehamia Chadema ambako wamenusa kutakuwa na milo ya uhakika............

Kwa vile vyama vyetu hivi hakuna chenye kuongozwa na kufuata itikadi basi ulaji ndiyo sababu ya kuwa chama fulani.....
 
Tunawakaribisha chadema lakini wajue kuwa huku kwenda kwenye mkutano hakuna malori ya kukodisha wala posho ya uhudhuriaji.
 
:coffee: Nijuavyo mimi mjini hakunaga fa la. Hawa ilikuwaje???? :ranger:
 
hahaaaa si wampigie simu JK au wapeleke invoice pale magogoni
 
Mavuvuzela aaaaaaaa Kwani hawakujua CCM ni wezi wa kutupwa? Wasije CHADEMA wakae huko huko hututaki mavuvuz
 
Ni muhimu kwao kuelewa kuwa chadema haina cha posho wala mabasi ya kuwachukua na kuwarudisha saa za mkutano huku ni kwenda mwenyewe kwa gharama zako na kurudi na maelekezo muhimu. Karibu CHADEMA ila tu msiwe mamluki:yield::yield::yield:
 
Wajiandae kuchapa kazi hakuna kuvuna ambacho hawajapanda..........................
 
Back
Top Bottom