Hujawah kumbana nao, hawaelewagi wale na wakiona umekaa kimia unarushiwa tusiTuwaache wapate rizk kama huwapenda mwambie akuache tu only......
Hahaaaa, bora utusaidie sisi wapoleMi leo nimepiga mmoja teke kali sana
Mkuu acha uongo.. Huo mwili unaweza rusha mawash gel kweli? Maana nilikuona walivyokuwa wanakuzonga (JOKES) Ila kiukweli wanakera...Maana mimi tayar nina tiketi namuombia haelewi ananishika na mikono michafu anachafua T-shirt yangu nyeupe nikashikwa na jazba sana nikakuta teke limeshachomoka
Haipo rizki inayo tafutwa kwa kumvuta ama kumgusa mtu pasipo ridhaa yake....Tuwaache wapate rizk kama huwapenda mwambie akuache tu only......
WordWasumbufu sana
Labda tuangalie namna nyingine kwakuwa hiyo serikali ya mkoa haijawahi kufaulu kwenye loloteHivi serikali ipo wapi? Mbona wapiga debe hapa stendi ya Ubungo wanabughuthi sana abiria? Wanavutavuta abiria wanashikashika akina dada wengine wezi. Unakuta mwingine mchafu anakuja kukungangania? Naishauri serikali ya mkoa iwapige marufuku na kuwaondoa wote. Tuwe wastaarabu. Kila basi wawe na ofisi abira ufike ofisini ukate tiketi ukapande basi
Hata ubungo pia kila bus lina ofisi yake, hivyo hii sio sababu yenye mashikoNingeshauri kila basi wajenge ofisi zao kama walivyofanya Dar lux, Dar express na Kilimanjaro express.... Kwa sababu katika maeneo hayo hakuna hayo mambo ya wapiga debe