Wapiga debe Ubungo stendi wanasumbua sana abiria

Tena wengine washenzi hasa akina mama ndo wanawaonea kweli. Kuna siku msamvu moro nimeshuhudia wananyang'anyana mzigo wa mama mmoja mpaka waka ufumua vitu vyote vikasambalatika. Yani aibu kweli, alafu hata awaonyeshi kujuta yani. Dah
Sana aisee wanatuonea sana
 
Hivi serikali ipo wapi? Mbona wapiga debe hapa stendi ya Ubungo wanabughuthi sana abiria? Wanavutavuta abiria wanashikashika akina dada wengine wezi. Unakuta mwingine mchafu anakuja kukungangania? Naishauri serikali ya mkoa iwapige marufuku na kuwaondoa wote. Tuwe wastaarabu. Kila basi wawe na ofisi abira ufike ofisini ukate tiketi ukapande basi
Kweli mkuu, yaan ubungo panaboa sana.. pale ukifika hata mzuka wa safari unapungua
 
Hivi serikali ipo wapi? Mbona wapiga debe hapa stendi ya Ubungo wanabughuthi sana abiria? Wanavutavuta abiria wanashikashika akina dada wengine wezi. Unakuta mwingine mchafu anakuja kukungangania? Naishauri serikali ya mkoa iwapige marufuku na kuwaondoa wote. Tuwe wastaarabu. Kila basi wawe na ofisi abira ufike ofisini ukate tiketi ukapande basi

Umeambiwa labda humu JF kuna hao Wapiga Debe wako?
 
MIMI HUWA NAWALIA TINTED TU...WAKINIZONGA NAWAAMBIA NAENDA ZANZIBAR AU DUBAI, WANAKAUSHA
 
Mabasi ya Rock City vipi? Yapo Luxury au teremka tukaze tuu!
 
Back
Top Bottom