Wapiga debe *UBUNGO RIVERSIDE*

Wapiga debe *UBUNGO RIVERSIDE*

Optimistic_

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
2,347
Reaction score
1,860
Wakuu kwema??...
Leo nimeshuhudia wale wapiga debe wa ubungo riversde pale stand wakikamatwa na watu ambao niliona ni kama askari japo hawakuwa katika mavazi yao...

Wengine wamekimbia kwa mwendo wa farasi na baada ya muda kukawa kuko safiii

Sasa nauliza kwanini wanawakamata ???
Au sijui nini kilichopo nyuma ya pazia??
Au sio wale wapiga debe wanaojaa wanazonga abiria wanaoshuka?? Au ninini hasa
 
Mzee si ungeuliza hapo hapo eneo LA tukio
 
Niko apo ubungo kwa muda mrefu sasa.tumezoea kuwaona wakikamatwa na askari, shida ni kuwa wengineo wabawaibia wasafiri na kuwatapeli tikeki.hata hivo wanatoa msaada sana kwa wale ambao hawajui namna ya kusafiri au wageni.wapiga debe maarufu ni marafiki zangu sana kulingana na kazi nnayofanya.wana sifa za kipekee hawa jamaa
 
Acha kutetea vibaka dogo. Au wewe ndio kishoka wanakuletea 10 percent
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom