Wapi Zitto Kabwe bunge la katiba?

Wapi Zitto Kabwe bunge la katiba?

Mimi nimeonana nae mda si mrefu mtaa wa Facebook.
Alikuwa na furaha nyingi sana zisizo na kifani.
Anapaza sauti za Liverpool liverpool liverpool liverpool mpaka kelele zake zikatuboa baadhi ya wana mtaa.
 
Hivi wadau mnapotezaje muda hapa eti kumjadili Zitto!!!who's Zitto by the way....CHADEMA is an institution....members may come...members may go but CHADEMA will still there...acheni upuuzi
 
zitto alishakosea step.amefuata upepo hadi kapotea hata hajui aanzie wapi.pole zake.unafiki si mzuri.kazi kusikilizia upepo
 
Amekosa uwakilishi chama kilitangaza kutomtambua atakuwa mbunge wa mahakama na mahakama haina uwakilishi!atamwakilisha nani?hapo akiingia anasubiri kaposho anaondoka kimyakimya kwenda kulala.
 
Nimemsikia jana bbc akihojiwa na Salim Kikeke kuhusu mpira wa Liver na Man City akiwa Ujeruman, jamaa ni shabiki wa live
Yaani yuko ujerumani wakati taifa linajadili swala kubwa kama hili linahitaji watu makini? Huenda inachangia bunge kuwa linaongea utumbo mwingi sana.
 
Tunadai katiba ya watanganyika na siyo ya wabembe wa kikongomani.
Anakula ujana na mtoto wa dhaifu la magogoni siunajua tena jamaa ana hisa za kibiashara na magari ya saratyoga na andriveture,
hivyo anpiga dili za kifisadi siku hizi umugope!

Anamalizia pesa aliyoongwa aivuruge cdm
 
Tunahitaji kusikia maoni yako juu ya mjadala unaoendelea , mbona kimyaa ? au mawazo yako serikali zote 3 au 2 unazikubali ?

Kuna kitu gani kimekusibu mbona sio kawaida yako kukaa kimya namna hiyo
 
Tunahitaji kusikia maoni yako juu ya mjadala unaoendelea , mbona kimyaa ? au mawazo yako serikali zote 3 au 2 unazikubali ?

Kuna kitu gani kimekusibu mbona sio kawaida yako kukaa kimya namna hiyo
jnuswe
===>Utamsikia akiomba msamaha muda si mrefu na kurudi CDM tayari kuendelea na kazi kama kawaida.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom