JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,880
Kwa wale ambao wanapenda kubana matumizi wanaponunua Tv, Smart Tv Stick ni muhimu mno. Badala ya kununua tv ya Smart tv ya ukubwa wa 55" kwa shilingi Tshs 5,000,000, unaweza ukasave pesa kwa kununua LED tv ya ukubwa wa 55" kwa Tshs 2,000,000 then unanunua Smart tv stick kwa around $18 - $80 na ukaichomeka kwenye LED tv kuifanya iwe Smart.
Tatizo nimeuliza hapa dar madukani sijaona sehemu wanauza hizi sticks zaidi ya chrome cast ambayo haikizi mahitaji. Kwa anayeuza hivi vifaa ani PM. Iweje vitu vimezagaa kwenye mitandao ya aliexpress na ebay lakini vinakosekana dar?
Au wafanyabiashara dar hamko SMART ?