Wewe badiebey kuna kitu tu ..umekutana nacho..mara majenereta mara... Kuna watu waaminifu bana...Heh we jifanye unaamini akikuambia i wanna marry you,itakula kwako,mguu ndani nje saivi,sina hamu
Mwalimu wangu wa Kiswahili alinifunza neno "wapi" ni kiwakilishi kiulizi kisicho na kiambishi chochote...
Hutumika pale tu unapoulizia uelekeo wa mahali na kamwe hakitumiki kutaka kujua taarifa za nafsi hai mathalani mwanadamu...
Hivyo swali kama hili "Wapi wanazingua kwenye kuoana?" katiķa ya Kiswahili si fasaha kwa mantiki ya mwandishi...

Wewe badiebey kuna kitu tu ..umekutana nacho..mara majenereta mara... Kuna watu waaminifu bana...
ah uaminifu nawaachia wenye vifua jmn..NIKO KIMASLAHI ZAIDI
mhhhh labda....angalia kwa umakini bana....mapenzi yapo na wa kukupenda wapo pia...
Ni kweli wapo mamymhhhh labda....
Mwalimu wangu wa Kiswahili alinifunza neno "wapi" likitangulia mwanzo wa sentensi husimama kama kiwakilishi kiulizi kisicho na kiambishi chochote...
Hutumika pale tu unapoulizia uelekeo wa mahali na kamwe hakitumiki kutaka kujua taarifa za nafsi hai mathalani mwanadamu...
Hivyo swali kama hili "Wapi wanazingua kwenye kuoana?" katiķa ya Kiswahili si fasaha kwa mantiki ya mwandishi...
Weka picha
Kwanini uliamua kujiita hilo jina?