Lio 002
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 436
- 68
Habar wana JF mm nilikuwa na shida ya kufanya mtihani wa cisco kwa hyo nikaamuwa kudownload video za tutorial na kitabu cha ccna kipo complete
Sasa nilikuwa nahitaji kufahamu nitawezaje kufanya mtihani online nahitaji mnisaidie website na gharama za huo mtihani hadi napata hicho cheti nahitaji kugharamikia kiasi gani?
Napenda luwasilisha ndugu zangu...