Wapi wanatoa huduma ya tohara bila operation (Prepex) Tanzania?

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,662
2,745
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna Huduma za tohara kwa wanaume bila kufanya operation...(Prepex) wanafunga ringi kwa ndani ya mkono wa sweta then wanazunguushia kitu kama mpira kwa juu. Baada ya wiki lile govi linasinyas then wanalitoa.

Natanguliza shukrani.
 
Hivi umewahi kushuhudia kuwa hawakati ila wanafunga tu ring ?.
Kwa maana mimi nilimpeleka kijana wangu sehemu, yule jamaa kuna sehemu anakata ila anafunga ring, na ukimaliza wanakupa whatsapp no yao kwa hiyo baada ya tiba unakuwa unawatumia pics za mtoto wako ili kujua maendeleo yake, kama anaendelea vizuri hurudi tena hosp.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna Huduma za tohara kwa wanaume bila kufanya operation...(Prepex) wanafunga ringi kwa ndani ya mkono wa sweta then wanazunguushia kitu kama mpira kwa juu. Baada ya wiki lile govi linasinyas then wanalitoa.

Natanguliza shukrani.
Uko mkoa gani
 
Ushauri wa bure, mpeleke hospitali ya kawaida afanyiwe tohara ya kawaida, hiyo ya kukatwa na kufungwa kipira sikushauri.
 
Rwanda moja hyo
IMG_20180913_075756_138.JPG
 
Watu wamekua waoga sana yaan kutolewa tu hilo kono la sweta unataka mteremko pia raha ya tohara maumivu yake dah
 
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna Huduma za tohara kwa wanaume bila kufanya operation...(Prepex) wanafunga ringi kwa ndani ya mkono wa sweta then wanazunguushia kitu kama mpira kwa juu. Baada ya wiki lile govi linasinyas then wanalitoa.

Natanguliza shukrani.
Yaani naona we huna tofauti na madada zetu waliowao 0714 siku hizi wanakwambia sipendi uchungu wa kujifungua nataka op. kumbe anajua kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom