CHINGUMBE Member Joined Feb 28, 2012 Posts 70 Reaction score 26 Sep 20, 2013 #1 jamani naomba nisaidieni ni wapi ntasoma CCNA(CISCO) kwa hapa dar na ni bei gan kwa kipindi cha muda gani,ilaa kwenye upande wa muda kufundishwa ningependa uwe mchana.
jamani naomba nisaidieni ni wapi ntasoma CCNA(CISCO) kwa hapa dar na ni bei gan kwa kipindi cha muda gani,ilaa kwenye upande wa muda kufundishwa ningependa uwe mchana.
K kiliob Member Joined Sep 11, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Sep 20, 2013 #2 Imit ipo life house building near to sukari house training $ 600 miezi 3 paper $350 tatizo muda ni jion saa kumi na moja
Imit ipo life house building near to sukari house training $ 600 miezi 3 paper $350 tatizo muda ni jion saa kumi na moja
CHINGUMBE Member Joined Feb 28, 2012 Posts 70 Reaction score 26 Sep 20, 2013 Thread starter #3 Poa mkubwa ntafuatilia vp kuhusu language programming ya C+ nnaweza kupa sehemu wanayofundisha.
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 6,537 Reaction score 4,944 Sep 21, 2013 #4 Nenda UCC Udsm
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 8,076 Reaction score 15,058 Sep 21, 2013 #5 Ucc udsm kipo posta na mlimani hata cheti chake kina nguvu na wana vifaa vya kutosha....ingawa vya mtaani vingi vina juhudi pia ya kufundisha
Ucc udsm kipo posta na mlimani hata cheti chake kina nguvu na wana vifaa vya kutosha....ingawa vya mtaani vingi vina juhudi pia ya kufundisha