Wapi wana 'English Profiency test' ukitoa British Council?

Foundation

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,421
596
Habari wakuu.

Nauliza wapi wanafanya ENGLISH PROFIENCY TEST ukitoa British Council. Moja ya masharti ya kufanya English Profiency test pale British Councili lazima uwe na Pasi ya kusafiria. Mimi sina pasi ya kusafiria

Nia yangu ni kuomba Scholarship, baadhi ya scholarship zinahitaji uambatanishe matokeo ya ENGLISH PROFIENCY TEST.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom