wapi vyumba vya elf.20 Dar

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Ndugu Kuna mtu ananisumbua. Je wapi hapa bongo naweza pata vyumba vya kupanga kwa 20elfu. Maji umeme. Mbali Na mji poa mradi daladala inafika. Hii Ni mipango ya January
 
Bonyokwa magari saba, kwa bibi Mpare, st. Joseph mwaka huu hawakupokea wanafunzi vyumba vimekuwa bwerere!
 
Ndugu Kuna mtu ananisumbua. Je wapi hapa bongo naweza pata vyumba vya kupanga kwa 20elfu. Maji umeme. Mbali Na mji poa mradi daladala inafika. Hii Ni mipango ya January
Kuna mpenzi wangu alikua anaishi chumba cha bei hiyo Tabata Baracuda... Ila hakikua na umeme! Yaani ni sehemu ya kujiegesha kwa kweli!!!
 
Njoo mtaani keko lakn boxing unaiweza?
Maana watu wa keko sis hatuchelewi kukupukutisha
 
Chumba cha 20 uwe msela maana maeneo hayo usalama utakuwa mdogo ha huwezi kuwa na kitu cha thamani.
 
Tabata Sanene maeneo ya msikiti wa warangi vipo lakini havina umeme...
 
Back
Top Bottom