Wapi vengu????

Wapi vengu????

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,459
Reaction score
699
Wanajamvi naombeni kupata habari za msanii wa komedi aliyekuwa anaitwa Vengu, alikuwa mgonjwa, je yupo wapi? Au bado anaugua? Mbona wadau hatuna feedback?
 
Ya Vengu ni Kama Ya Aliyekuwa Premier wa Nchi Yangu Kipenzi Israeli Bwana Ariel Sharon ambaye Kwa Muongo Mzima Sasa Yupo ktk Coma ( Nusu Hai, Nusu Marehemu ). Akili Zako na Za Kuambiwa......................................:smile-big:
 
nasikia ndugu zake hawataki kabisa kutoa habari yoyote kuhusu ugonjwa wa ndugu yao.
 
DEMBA nafikiri familia inafanya vizuri kwa ndugu yao
 
Last edited by a moderator:
ndugu zake hawataki kuambia jamii anaendeleaje
 
Mnaotaka taarifa zake mwazitakiani? au ndo vile mzipate myaseme mitaani..
 
Back
Top Bottom