Wapi Taifa linaelekea?Huyu ni Mwanafunzi kidato cha Tatu.

Wewe ukiwemo au unajitoa? huyo afisa rasilimali watu anawezesha tu! mabadiliko yanaanza na wewe!

That's sheer insanity kuamini mwajiriwa anatakiwa kutekeleza wajibu wa mwajiri. Au huelewi maana ya "conducive working environment"? Na ni nani ameongelea habari ya afisa raslimali watu?
 
That's sheer insanity kuamini mwajiriwa anatakiwa kutekeleza wajibu wa mwajiri. Au huelewi maana ya "conducive working environment"?
Hebu lete definition ya uwelewa wako in real practical perspective? Halafu nitajua na-deal na nani!!
 
Halafu huyo anaonekana ni binti ..
Unakuta akiwa na miaka 20 akaanza kuijua instagram na kuvaa mawigi juu ya hilo boga lake lisiloweza kuchora ramani ya nchi yake na yeye anajiita model

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusianze kusingizia Instagram mkuu, matokeo ni mabaya zaidi huko vijijini ambako instagram haijawafikia watoto. Tatizo lipo na linajulikana.
 
Hebu lete definition ya uwelewa wako in real practical perspective? Halafu nitajua na-deal na nani!!

Jinsi ulivyouliza tu swali lako linadhihirisha your level of understanding (or to be precisely lack of it). Ni kazi bure mtu kujaribu kumuelewesha mtu asiejua tofauti kati ya profession na mtu alie ndani ya profession.
 
Habari,Nimesikitika sana kuona mwanafunzi wa form three hawezi kuchora ramani ya Africa Mashariki na wala hajui Kenya, Rwanda au Burundi ziko sehem gani ktk Ramani.

Hata uandishi wa Essay tu ni shida,anaandika vitu vya ajabu hadi aibu.

Pitia document hapo chini then tujadili Tunatengeneza Taifa la namna gani?View attachment 1063010View attachment 1063011

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Tatizo sio yeye ila waalimu ndo tatizo, kinachoonekana kwa watoto ni reflection ya waalimu waliomfundisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya ajab kabisa
HIV kipindi cha mwinyi Ulikuwa Na miaka mingapi? kipindi hicho waalimu waliacha kazi kwa kukosa malipo!!! Swami hii makato ya mishahara ya waalimu yako juu + Kufanya kazi kwa msukumo wa Ksiasa+mazingira magum ya kaz halafu mtoto anafundishwa kiswahili Shule za msingi sekondari anakutana kiingereza!!! Kwa kweli ualimu sio wito Ni kazi
Chameleons change color to match the earth. Earth doesn't change color to match the chameleon.
[/QUOTE]
 
Jinsi ulivyouliza tu swali lako linadhihirisha your level of understanding (or to be precisely lack of it). Ni kazi bure mtu kujaribu kumuelewesha mtu asiejua tofauti kati ya profession na mtu alie ndani ya profession.
Kwahiyo wewe ndie profession au upo ndani yake? Just probing to know!
 
Habari,Nimesikitika sana kuona mwanafunzi wa form three hawezi kuchora ramani ya Africa Mashariki na wala hajui Kenya, Rwanda au Burundi ziko sehem gani ktk Ramani.

Hata uandishi wa Essay tu ni shida,anaandika vitu vya ajabu hadi aibu.

Pitia document hapo chini then tujadili Tunatengeneza Taifa la namna gani?View attachment 1063010View attachment 1063011

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.

Hili lina uhusiano gani ma taifa?
 
Haya ndio madhara ya kuajiri walimu wa kutoka nchi za majirani
 
Upuuzi tu. Hakuna mahusiano yoyote kati ya mwanafunzi kilaza na taifa. Na hakuna nchi inayokosa vilaza katika hii dunia.

Na utakuta hajiwezi kwenye taaluma hii, na akawa hodari kwa mambo mengine ya kujenga taifa.
Habari,Nimesikitika sana kuona mwanafunzi wa form three hawezi kuchora ramani ya Africa Mashariki na wala hajui Kenya, Rwanda au Burundi ziko sehem gani ktk Ramani.

Hata uandishi wa Essay tu ni shida,anaandika vitu vya ajabu hadi aibu.

Pitia document hapo chini then tujadili Tunatengeneza Taifa la namna gani?View attachment 1063010View attachment 1063011

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah!! Wanasiasa wanatafuta kura........nchi ikiwa na wasomi wao watakula wapi!?
Mtaji wa kile chama ni kuwa na nchi ya wajinga ili waendelee kuongoza milele.....
Hapatakuja kua na Sera bora ya elimu nchi hiii......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni walimu au tatizo ni mwanafunzi?

Hivi hizo shule zenu mnaruhusu vipi mwanafunzi kama huyo anafika mpaka form three? Alifaulu vipi huko nyuma mpaka akafika hapo alipo!?

Pamoja na ukilaza wa mwanafunzi lakini na nyie walimu jiangalieni. Mtoto kama haelewi mfundisheni hadi aelewe na ikishindikana mrudisheni darasa mpaka aelewe. Na kama haelewi kabisa rudisha nyumbani labda fani yake sio kusoma. Kuna mambo mengi ya kufanya sio lazima kila mtu asome. Inawezekana haelewi ila ana kipaji kingine labda soka n.k
Kumbuka unazungumzia shule za gvt. Elimu bure, mtoto hadi afike form iv
 
Back
Top Bottom