Yan wewe ndio ms... namba 1 tena nahisi una.... utakuwa uanamalizia mwenyewe yaan kwenye shughuli za kichama ndio mnatakiwa mzivae hizo uchafu zenu ila sio kwenye mikutano ya kitaifa ambayo haina uchama. Tatizo mmeshikiwa akili ndio maaana mnashindwaga kuchanganua ata mambo ndio maana ata RAIS amewapiga chn uvccm na kuwachukua mamluki kutoka CDM na kuwapa vitengo coz kaona akili zenu bado ni FINYU SNA.
But all in all life linasonga ujanja wako ndio mafanikio yako uwe FISIEM, CDM, ACT,CUF nk ukitumia nguvu umeumia.