Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Hizo akili zako za kimaskini. Pole kwa kuhangaika na maisha ya watu.Yupo kajichimbia zake anawaza atalipaje mkopo wa hoteli na ubunge wake ndio unafikia ukingoni.
Hizo akili zako za kimaskini. Pole kwa kuhangaika na maisha ya watu.Yupo kajichimbia zake anawaza atalipaje mkopo wa hoteli na ubunge wake ndio unafikia ukingoni.
mbona Chalamila anatetemeka sana baada ya kumuona Sugu ?Raisi wa Mbeya huyu hapaView attachment 1080956
Sababu yupo na Raisi wa Mbeyambona Chalamila anatetemeka sana baada ya kumuona Sugu ?
Wakuu nipo mjini mbeya hapa ni mara mbili sasa Mh Raisi JPM anamuulizia kijana wetu Sugu awasalimu wananchi lakini kijana hataki kujitokeza lakini pale Songwe alisadikika kuwepo hii imekaeje wadau?
Sugu moto chiniSababu yupo na Raisi wa Mbeya
Every one crying for peace but no one crying for justiceAlikuwa nyuma sana ya msafara
Wakuu nipo mjini mbeya hapa ni mara mbili sasa Mh Raisi JPM anamuulizia kijana wetu Sugu awasalimu wananchi lakini kijana hataki kujitokeza lakini pale Songwe alisadikika kuwepo hii imekaeje wadau?
Ajitokeze asee Maana mzee baba asije jua kijana kakomaa si unajua kijana ni Raisi wa kanda ile?
Magufuli ni kisanga
awamu yake hakuna linaloshindikana
Raisi wa Mbeya huyu hapaView attachment 1080956
kosa moja haliachi mkeMbona korosho zimeshindikana kuuzika zipo tu warehouse zinaoza?
mwaka wa 4 bila mikutano ya kisiasa.
jaribu uone!
Naona Raisi wa mbeya kajitokeza rasmi
kosa moja haliachi mke
poa sababu uchaguzi uliisha 2015 maswala ya siasa katikati yanatuchanganya
sjui kwako
hahahaaaaaMwenge huoo mwenge
hahahaaaaa
Na ataanza kuitwa malaya na hawa hawa makamanda. Ni suala la muda tu.Sugu atahamia CCM very soon
Kwahyo zile skafu mmezisahau au????? Kama vipi pasukaaaHao waseeng....wananikeraga kwelikweli yaan kila mahali tu na vinjano + kijani zao