Wapi shonza wapi mtela

Wapi shonza wapi mtela

Jacaranda

Member
Joined
Oct 23, 2011
Posts
45
Reaction score
20
Ni muda sasa ambao tunaweza kufanya tathimini ya faida na mustakabli wa shonza na mwapamba katika chama chetu cha ccm.Je wameserve purpose ya kile tulichowarecruit? Kama sivyo ni muda wa kuachana nao kwani hawana tija.Si jambo la afya kuwa na watu wa msimu na kuwasahau vijana ambao wamekipigania chama tangu wako chipukizi mpaka sasa.CCM tulikosea kuwapa kipaumbele hawa jamaa kwa manufaa ya msimu.Miaka 37 tujitafakari
 
Popote mlipo watajwa hapo juu joeni uku...
 
Shonza ni msemaji wa kujitolea wa Kinana, na wiki mbili zilizopita alitoa tamko.
 
Kiboko yao ni EL. Hilo jina likitajwa tu kila mtu CCM anasikia homa
 
Manchester haifanyi vyema ila the chosen one is still there...Wapo!
 
Hawa watoto hawakuwa na hadhi yoyote na walijua zitto si punde atawafuata kumbe wamejipoteza kufeni
 
Thamani ya hao watu kwetu CCM, ilkuwa walipokuwa kule CDM....maana tuliwatumia kuvuruga ustawi wa chama chao, tuliwatumia kufifisha upinzani n.k n.k!

Now sasa wamekuja huku kwetu....wamekuwa ni mzigo tu, ukizingatia ni wachanga sana ndani ya siasa za CCM ili wapate nafasi yeyote ya maana........!

.....ila kwa pale watakapo kuwa wanawatukana Slaa na Mbowe mitandaoni tutakuwa tunawapoza kidogo kidogo kulingana na uwezo wa chama!

ONYO; Ole wao wayatoe ya huku (CCM) na kuyapeleka kule (CDM) lazima tutawatia ndani ya kisima!
 
QUISHNEEY....!!! zilipendwa like toilet paper once used nomore values...!
 
Back
Top Bottom