Wapi ntapata Technical secondary schools?

Wapi ntapata Technical secondary schools?

jaman hz shule zimebak jina tu kwny ufund, mi nilimaliza iyunga lakin kwenye swala la masomo ya ufund yan hamna kitu kuanzia walim mpk mitaala ya kufundishia yan nadhan ni shule zote za ufund ni ivo ivo tu juz kat nilifik mosh tech hali ni ile ile. kitu tulichokuw tunafany ni kuepuk kupat F ya hayo masomo sio tena kuyafaulu
 
Kiboko lipo karibu na bweni la wasichana Mbuni

Hili labda litakuwa jipya,enzi zetu mabweni yaliyokuwa karibu na Mbuni ni Twiga na Nyati,katikati kulikuwa na dispensary ya shule,
 
iko tanga mjini au ni wapi? Na vipi ufundi uko hai au ndio technical jina? Naomba na contacts kama inawezekana. Thanx

Don bosco iko nje kidogo ya mji pande za buhuri karibu na rosemini..ki education levek sijui ilivo kwa kweli
 
Mkubwa tupo wengi sana humu jukwaani tuliopitia KIUNGANI.Nakumbuka enzi zetu chini ya KIMUKI,alikuwa hakatizi MTU TTS.

kimuki walindaji wa shamba la shile cku hz ni mitiki ilipandwa mule
 
Last edited by a moderator:
Napenda kufahamu ni wapi nitapata technical secondary schools ya serikali au binafsi nzuri na ni active? Nataka kumpeleka kijana wangu akaanze form one mwakani 2016.

Usipoteze muda,fanya mishe zozote uzijuazo umpeleke Tanga Tech.School.Ni shule pekee ya Serikali yenye miundombinu bora na karakana zenye Mashine na mitambo ya kutosha.Kizuri zaidi Mitihani ya VETA inafanyika palepale,hivyo akimaliza f4 tu anaweza pia kuondoka na ganda la VETA Grade A,B au C nyumbani wakati anasikilizia results.Misosi ndiyo balaa,kuna "menyu za hatari kama vile: pure,ugali,maharage,Nyama,mpunga wa nguvu,bila kusahau kawepo(uji) kila Sikh asbh na maji ya moto(chai).Kuna chimbo za kutosha za KUBUNDIA zijulikanazo kama "KAKUNYU".Akiwa member mzuri wa kakunyu,lazima aibuke na p.7 ya maana,acha kabisa.
 
kimuki walindaji wa shamba la shile cku hz ni mitiki ilipandwa mule

Kama ni hivyo siku hizi kutakua na njaa sana,sisi tulikuwa tunalima mahindi na mihogo ya kulisha shule mwaka mzima.Chini ya Uongozi wa H/M TETI na mama Singano tulikuwa hatuna njaa kiungani.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni hivyo siku hizi kutakua na njaa sana,sisi tulikuwa tunalima mahindi na mihogo ya kulisha shule mwaka mzima.Chini ya Uongozi wa H/M TETI na mama Singano tulikuwa hatuna njaa kiungani.
Kapteni unatisha Asee TTS ipo juu ila dokeza ww dom lako lilikuwa lipi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom