Wapi ntapata Technical secondary schools?

Wapi ntapata Technical secondary schools?

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,064
Reaction score
355
Napenda kufahamu ni wapi nitapata technical secondary schools ya serikali au binafsi nzuri na ni active? Nataka kumpeleka kijana wangu akaanze form one mwakani 2016.
 
ya private minja tech iliyoanzisha kweny miaka ya 70s na kuvuma sana.

Ipo Kilimanjaro - Mwanga - Ugweno.

Angalizo: kabla hujampeleka mwanao ingia kwenye mtandao uangalie matokeo kwanza tusilaumiane.
 
kupata shule ya serikali mbaka achaguliwe japo bongo ukijiongeza anaweza kuingizwa kwa mishe akasoma za private ziko japo sio nyingi najua moja hv iko mkoa wa Mara iko fresh jina nimesahau
 
Shule nzuri ilikuwa ni mazengo tech, pale kulikuwa na kila aina ya mitambo ya ufundi wowote uujuao!! Lakn masikini serikali ikabinafsisha shule ile!!
 
Back
Top Bottom