8 in 1 printing press machine

8 in 1 printing press machine

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,951
Habari wakuu.

Natafuta mashine hii ya kuprint t shirt na vitu mbalimbali.

Mwenye utaalamu naomba kujua
-Bei
-Brand Nzuri imara ni ipi
-Wapi nitaipata

Naomba kuwasilisha.
Screenshot_20200406-100827_Google~2.jpeg
 
Kuna jamaa anazo hizi mashine alikusudia kufungua ofisi ya printing ila amebadili mawazo
 
Pia kuna ofisi zipo upanga wanauza hivi vifaa sema kwa bahati mbaya nimesahau jina lake.
 
Back
Top Bottom