Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,969
- 33,402
Wakubwa natumai mko buheri wa afya kabisa.
Napenda kujua na kukutana na mtu au kampuni wanaofanya zile automatic watering au irrigation kwa gardens za nyumbani au mahotelini kwa Dar es salaam. Kama unamjua tafadhali msaada wa mawasiliano maana najua JF hakiharibiki kitu.
Asalaam aleykum na jumapili njema kwenu.