Wapi nitapata USB ya aina hii?

Wapi nitapata USB ya aina hii?

Kiby79

Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
95
Reaction score
136
Naomba mwenye kuweza kuwa na usb ya iana hii, au zinapatikana wapi kwa dar, ni ya ipod, niliyokuwa naitumia imeharibika.nitashukuru.

Screenshot_20211004-150555.png
 
Kweli jf expert member!!anaweza kuharisha hivi?!!
Hajamaanisha pweza anaeliwa kamaanisha pweza ile chaji yenye USB nyingi nyingi za simu tofauti tofauti ndio inaweza kuwa na cable kama hiyo.
 
Umemaanisha nini
Sorry mkuu!!unajua tena hii hamisha hamisha ya machinga tumepagawa watu, hapa nipo na banda langu hata cjui nalipeleka wapi!!!sikuwa nimeelewa mkuu nisamehee bure!!ila sijui kama kwenye hizo naweza ipata kwani hii ipod ni product ya apple!!!
 
Kitambo nilichajia iphone 4 na izo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom