Wapi nitapata touch ya nokia 6

matyhans

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
611
Reaction score
403
Habari wakuu... leo nimetoka nunua nokia 6 na leo hii hii nikadondosha imecrack vya kutosha.... wapi naweza pata Touch yake?
 
Habari wakuu... leo nimetoka nunua nokia 6 na leo hii hii nikadondosha imecrack vya kutosha.... wapi naweza pata Touch yake?

Tuma picha watu waone ili wakushauri ni kama inabidi ununue complete au touch tu kiongozi ila pole sana mkuu.
 
kama ni crack tu ya touch na kioo cha ndani ni kizima ananunua tu digitizer bila lcd. bei yake haifiki hata dola 10.
mkuu naomba unidirect wapi napata huduma hii pia make kuna simu ya ndugu yangu nokia 6 imepata cleck za kutosha ila touch yake ndani inafanya kazi tu bila wasi wasi tatizo ndo hulo fashion yake imepotea..vipi huduma hii vipi..??
 
Aggrey mkuu, ila uwe makini sana
-kuna touch/digitizer feki ukiekewa hata kutype itakuwa tabu.
-wengine wanatumia gundi za viatu,kioo kinaweza vimba kikatokezea kwa juu.
-wakati wa kuchoma moto na kubandua touch inawezekana kuharibu na kioo chenyewe.

Kifupi hii process ni risk kwa hizi simu za kisasa, bado tunahitaji vifaa vya kisasa zaidi.

Kama simu bado haina tatizo aweke tu protector aendelee kutumia.

Au agizishia online vifaa original ili kupunguza risk ya feki huku kwetu kisha utakuja tu kubadilishia huku.
 
lakini mkuu...nokia andoroid zina protector kweli mboma kama naona kioo kimoja tu ...??

Au lakini mkuu...nokia andoroid zina protector kweli mboma kama naona kioo kimoja tu ...

Au display unayoongelea ni ipi make nokia naona zina kioo cha juu kigumu tu au ndo protector hiyo na kioo ndo kipo ndani...??
 
Protector nilimaanisha ile ya kununua ya 2000.

Ila yenyewe pia ina layer ile ya juu na kioo chenyewe ndani. Simu yoyote ukisikia ina gorilla glass ujue ipo hivyo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…