Wapi nitapata Suti ya kiume ya kukodi?

zimesimama balaa na vitambaa quality
  • Wapi location yake anapofanyia hii kazi? Edit: Nimeona location Thanks
  • Yuko karibu na clock tower ukiwa tayari ni pm nikupe namba ukapendeze kibabe
  • Na je huchukua muda gani? kukamilika.
  • Je hana ule usumbufu wa njoo kesho, Njoo kesho! [ Hili ni tatizo sugu kwa mafundi nguo walio wengi ]
 
Kuna mwanangu mmoja ananishonea suti na kitambaa kwa laki tu na zimesimama balaa na vitambaa quality sio kama midosho ya kichina
Atakuwa ana kiwanda chake cha vitambaa.
Au unakushonea na vile vitambaa vya elfu Saba kwa Mita.?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…