Ahahahah mi nataka na waya wa maskion ule kama Wazee wa DAR FREE MARKETMe ninazo kaunda, sema unataka na kitambulisho kama wale jamaa zetu?
Isije ikawa ina pindo chini tu 😅😅😅Nina suti moja Kali sana ya dark blue, ipo tu Nina miaka sijawahi kuivaa. Kiuno 37 kama itakua poa kwako njoo uchukue, sitaki hata senti
Hahahaha aiseee hii kitu niliagiza South Africa Haina pindo, sijashona kwa Fundi MichaelIsije ikawa ina pindo chini tu 😅😅😅
Nikinenepa ntaifata mkuu lakini mie ni mfupi kaka! 5.6” itanitosha kweliHahahaha aiseee hii kitu niliagiza South Africa Haina pindo, sijashona kwa Fundi Michael
Hahahahaha ndio humo humoNikinenepa ntaifata mkuu lakini mie ni mfupi kaka! 5.6” itanitosha kweli
Aagh kizibao sina aiseeeeyap nko interested sana na koti na kizibao suruali sio tatizo
Ebhana nimecheka sanaAhahahah mi nataka na waya wa maskion ule kama Wazee wa DAR FREE MARKET
😅😅😅😅😅😅Ebhana nimecheka sana