Wapi nitapata standby generator?

Thegame

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
2,274
2,393
Wakuu kuna biashara nafungua ila inahitaji umeme masaa 24/7.
Hitaji langu ni kuwa na standby generator yenye uwezo wa kuendesha Majokofu matatu, TV, kiyoyozi pamoja na taa!
Wapi naweza kuipata na kwa bei gani?? Naomba msaada kwa hili!!
 
Back
Top Bottom