Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,857
Mimi ni kijana mtanzania nimeajilawa na ninapokea....! mshahara., wangu kwa ajili ya uwekezaji katka ufungaji wa kondoo huko nyumbani mkoani mwanza..!
naomba mnisaidie watanzania hapo ulipo soko la kondoo liko vp? maana sasa nataka kuanza kuwauza kama na wewe unaweza biashara hii tunaweza tukafanya mawasiliana kupita
daudkipara@gmail.com
naomba mnisaidie watanzania hapo ulipo soko la kondoo liko vp? maana sasa nataka kuanza kuwauza kama na wewe unaweza biashara hii tunaweza tukafanya mawasiliana kupita
daudkipara@gmail.com