Wapi nitapata samaki mbasa hapa Dar

Mangungo II

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
18,013
26,326
Naam watu wa nyanda za juu kusini watanielewa zaidi

Nadiriki kusema hakuna samaki mtamu kuliko duniani. Yes ndio numekula sangara, sato, kambale, kibua, changu, chuchunge na wemgineo lakini katika samaki mapenzi ya dhati yalibaki kwa mbasa wa ziwa Nyasa.

Roho yangu ilisuuzika barabara kumtafuna samaki yule mwenye ladha Tamu na kipekee na ya kipekee ,mwenye Mafuta Kama mbuzi katoliki.

Nauliza nitawapata wapi Dar huu ndio msimu wake Sijali bei Mimi nataka kuwanunua

Nipeni direction southern Highlanders.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Naam watu wa nyanda za juu kusini watanielewa zaidi

Nadiriki kusema hakuna samaki mtamu kuliko duniani.Yes ndio nunekula sangara,sato,kambale,kibua,changu,chuchunge na wemgineo lakini katika samaki mapenzi ya dhati yalibaki kwa mbasa wa ziwa nyasa.

Roho yangu ilisuuzika barabara kumtafuna samaki yule mwenye ladha Tamu na kipekee na ya kipekee ,mwenye Mafuta Kama mbuzi katoliki.

Nauliza nitawapata wapi dar huu ndio msimu wake Sijali bei Mimi nataka kuwanunua

Nipeni direction southern Highlanders.
Mbasa kweli watamu. Mbamba Bay maeneo ya Kilosa kwenye ile lodge wanauzwa na wanalika.
 
Back
Top Bottom