christopher felix
New Member
- Dec 18, 2018
- 3
- 0
hamjambo wakuu.
mi kijana mdogo kati ya wadogo wote, natafuta mashine ya kukobolea mpunga ambayo ina kila kitu yaani rice paddy cleaner, destoner, separator, grading unit, etc.. yenye capacity ya 20-30T/day.