Kwa Dar nenda Manzese, pale maeneo ya Darajani upande wa kishoto kama unaenda mjini, kuna viwanda vingi vinasagisha unga hayo maeneo, hivyo kunakuwaga na pumba nyingi sana