THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,769
hahaaa mshauri huu uongo sasa, asubuh subuh hii kuumizana mbavuHapa pembeni ya Akiba Commercial Bank kinondoni kuna wauza chips wawili mmoja anaitwa boboo huyo boboo ana lipaka linene jamani nafikiri ni obesity lina manyonya likubwa halafu lizuri sana, mlo wake sasa samaki mzima au paja la kuku, anatafuna bigjii na kupuliza puto nliwauliza huyu anakamata panya wakanjibu anakamata anaua ila hali panya likitembea linaringa sana, paka wa Dar bwana mabishoo kama wanaowafuga.
Salaam,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,naombeni msaada wa kupata wale paka wazuri wenye manyoya mengi.
Ningependa kujua wanapatikana wapi,kama wanauzwa je ni bei gani na ingependeza sana kama atakuwa mdogo nikaanze kumlea mwenyewe kwa maadili na nidhamu ninayotaka.
Natanguliza shukrani.
Sawa ali ntashukuru.Nitakujulisha kuna jamaa zenji anafanya breeding ya wale fury cat mi ninaye dume mmoja matata sana na mtaan ana mbegubkibao ila kazaa na paka porinso ukimchukua huyo wajukuu ndio watakuwa poa
Anhaaa ukufanikiwa kujua kama ana watoto wa breed yake ili kama naweza kujipatia na mimi nakala yanguHapa pembeni ya Akiba Commercial Bank kinondoni kuna wauza chips wawili mmoja anaitwa boboo huyo boboo ana lipaka linene jamani nafikiri ni obesity lina manyonya likubwa halafu lizuri sana, mlo wake sasa samaki mzima au paja la kuku, anatafuna bigjii na kupuliza puto nliwauliza huyu anakamata panya wakanjibu anakamata anaua ila hali panya likitembea linaringa sana, paka wa Dar bwana mabishoo kama wanaowafuga.
Mganga anataka mengi mangapi na rangi gani?Salaam,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,naombeni msaada wa kupata wale paka wazuri wenye manyoya mengi.
Ningependa kujua wanapatikana wapi,kama wanauzwa je ni bei gani na ingependeza sana kama atakuwa mdogo nikaanze kumlea mwenyewe kwa maadili na nidhamu ninayotaka.
Natanguliza shukrani.
Mkuu nataka mdogo wa kumfuga hapa nyumbani ila ni ile breed ya walio na manyoya mengi na miili mikubwa.Mganga anataka mengi mangapi na rangi gani?
Ndio mkuukumbe ulimaanisha mkuu?
Makumbusho maeneo gani???Wapo wanao uzwa pale makumbusho
Mbavu kidogo zinichomoke yaan paKa anatafuna BIG G na kupulza kabisa, anatafuna bigjii na kupuliza puto likitembea linaringa sana, paka wa Dar bwana mabishoo kama wanaowafuga.