Wapi nitapata nguo za kike(ndan) bei ya jumla?

Wapi nitapata nguo za kike(ndan) bei ya jumla?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Mfano shndilia,tight,vyupi n.k Nataka kuanza hyo biashara kwa hapa Dar mtaj lak 3
 
Nenda pale club ya Simba,kuna bank kama sikosei ni Azania bank,Ina ATM ya UMOJA kwa nje,ingia ilo chocholo la upande wa kulia hapa hapo kwenye kona(ukuta wa bank)utakutana ma niredio na mi tv nyomi,ingia kuna kiuchocholo kidogo hivi kinaelekea mtaa unaofuata,au waulize hao hao jamaa wauza radio na tv watakuonyesha hayo maduka maana yako hapo hapo,yani 'vyupi'ni vya kumwaga.Nadhani chupi nzuri zinaanzia 14,000 kwa dozen(12pcs)
Ila kama unauzia mitaani basi jiandae kufirisika,maana mademu watazichukua kama zao.
 
Nenda pale club ya Simba,kuna bank kama sikosei ni Azam,Ina ATM ya UMOJA kwa nje,ingia ilo chocholo la upande wa kulia hapa hapo kwenye kona(ukuta wa bank)utakutana ma niredio na mi tv nyomi,ingia kuna kiuchocholo kidogo hivi kinaelekea mtaa unaofuata,au waulize hao hao jamaa wauza radio na tv watakuonyesha hayo maduka maana yako hapo hapo,yani 'vyupi'ni vya kumwaga.Nadhani chupi nzuri zinaanzia 14,000 kwa dozen(12pcs) Ila kama unauzia mitaani basi jiandae kufirisika,maana mademu watazichukua kama zao.
mkuu wachukue kwani zao? nitauzia kwenye baa na mahotel tena kwa mkopo!
 
ukikuta mhudumu kahama ujue umefirisika, hawachelewag hao kuamisha kambi
 
mkuu wachukue kwani zao? nitauzia kwenye baa na mahotel tena kwa mkopo!

Huko ndo umepotea mkuu! Siku hizi akina dada wengi hawavai hayo mavitu.labda sindiria tu. Wengi hasa wa dar wanasingizia joto.sasa bar ndo kabisa!!!bar maid aha
 
Sijawahi ona maduka ya chupi eneo hilo.
Zaidi ni vibaka na wamachinga wauza madera!

Haya bwana ngoja nisibishane na wewe maana yawezekana mimi naongelea mtaa wa Uhuru na Kongo Dar wakati wewe unaongelea Uhuru na Kongo Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom