Wapi nitapata mifuko ya sandarusi debe 6-7 kwa ajili ya kuhifadhia mahindi, mpunga, karanga

unaitaji mzigo kiasi ganiii, tunaweza kukufanyia dili ukapata kutoka kiwandani kabisa, ila wanauza kwa ballo.
 
Uko wapi?
Hiyo mifuko kwa Dsm inapatikana PEMBA Kipande Street! Bei ni kati ya 600-800! Ila wale wauzaji KAMONGO sana. Sema nae mpk mwisho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom